JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 273
Ahsante mkuu, mfano Gemstone yenye ranging IPI hapo ina thamani kubwa sanaGemstones za aina mbalimbali, yote ya thamani mbalimbali, ila baadhi yana thamani kubwa sana
Kaka yatupe chooni, madini yana mapepo ujue
Hapo kuna amerhyst,kuna moonstone,kuna tormaline,kuna felsper goldnshine,kuna quartz...Habari,
Naomba msaada kutoka kwa mtaalamu anayejua haya ni madini gani? Yana soko lolote? Yanauzwaje labda kwa gramu n.k? Ninayo hapa home ila wajanja wengi siku hizi kabla sijaenda Sonata nataka nipate idea ahsanteni.
Unampango nayo gani?hayo ya kahawia nnayo mengi
yapo kama mapambo2Unampango nayo gani?
Mkuu hiyo carrot Sio sun stone kweli?Hapo kuna amerhyst,kuna moonstone,kuna tormaline,kuna felsper goldnshine,kuna quartz...
Ova
Unamaanisha ni mmeru au...hayo ya kahawia nnayo mengi
Bahati mbaya wachangiaji wengi hapo juu hawajui aina za madini Kwa kukusaidia tu hapo zipo aina tatu tu (1)amethyst (2)moonshine (3)sunstone yote hayo ni cheap stone ukiitaji maarifa zaidi njoo hapa siamic kunduchi
Bahati mbaya wachangiaji wengi hapo juu hawajui aina za madini Kwa kukusaidia tu hapo zipo aina tatu tu (1)amethyst (2)moonshine (3)sunstone yote hayo ni cheap stone ukiitaji maarifa zaidi njoo hapa siamic kunduchi
Mkuu Felspur inapatikana Sehemu gani Tanzania?angalia isije ikawa wewe ndo hujui this is gem(game) stone.
madini hayana mjanja
Ni madini ndio hayo,kuna watu wamejarib kuya name,ni kwel,.ILA HAYANA THAMANI,..HUUZI HATA MOJA HAPO,..HIZO NI CAPTION ZA KUFA MTU,..YAAN NI QUALITY YA CHINI SANA,..kwa mfano hiyp feldspar inauzwa kwa tani,tani moja ni elf 80 mi namuuzia mchina Goodwill mkuranga..so hiko kipande hapo hata mia haiifiki,..hayo mengne hayana ubora pia size ni ndogo na shape si mzur.Mkuu Felsper inapatikana Sehemu gani Tanzania?