Diplomatic Imunnity JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,179 Reaction score 320 Apr 27, 2016 #1 Habari wapendwa naomba mwenye ujuzi wa hizi mashine za efd anitumie namba yake kwa sm nina tatizo kwenye mashine yangu posho ipo
Habari wapendwa naomba mwenye ujuzi wa hizi mashine za efd anitumie namba yake kwa sm nina tatizo kwenye mashine yangu posho ipo
Void ab initio JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 5,731 Reaction score 5,672 Apr 27, 2016 #2 Ngoja wataalamu wanakuja.Nimepishana na posho aisee Daah.
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,730 Apr 27, 2016 #3 UMENUNUA WAPI? WALE WANAOUZA NDIO WENYE VIBALI VYWA KUGUSA HIZO MACHINE UTAUMIA
Diplomatic Imunnity JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,179 Reaction score 320 Apr 27, 2016 Thread starter #4 Mulhat Mpunga said: UMENUNUA WAPI? WALE WANAOUZA NDIO WENYE VIBALI VYWA KUGUSA HIZO MACHINE UTAUMIA Click to expand... Acha woga ww
Mulhat Mpunga said: UMENUNUA WAPI? WALE WANAOUZA NDIO WENYE VIBALI VYWA KUGUSA HIZO MACHINE UTAUMIA Click to expand... Acha woga ww
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,730 Apr 27, 2016 #5 Diplomatic Imunnity said: Acha woga ww Click to expand... Wanazikorokochoaga IA wanajuta Sent from my TECNO-M3 using JamiiForums mobile app
Diplomatic Imunnity said: Acha woga ww Click to expand... Wanazikorokochoaga IA wanajuta Sent from my TECNO-M3 using JamiiForums mobile app
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Apr 27, 2016 #6 Diplomatic Imunnity said: Habari wapendwa naomba mwenye ujuzi wa hizi mashine za efd anitumie namba yake kwa sm nina tatizo kwenye mashine yangu posho ipo Click to expand... umenunua kampuni gani? hiyo machine ni model gani? -incotex -datecs -tremol -rch -fasy -daisy . . . . .
Diplomatic Imunnity said: Habari wapendwa naomba mwenye ujuzi wa hizi mashine za efd anitumie namba yake kwa sm nina tatizo kwenye mashine yangu posho ipo Click to expand... umenunua kampuni gani? hiyo machine ni model gani? -incotex -datecs -tremol -rch -fasy -daisy . . . . .