hiyo screen ina tatizo. na hilo tatizo linaweza kukomaa kadiri siku zonavyosogea. kama ulinunua laptop dukani na ipo kwenye Warranty piga picha wakati mstari unaonekana na uwarudishie wenyewe. kama ulinunua used basi subiri hadi tatizo litakapojidhihirisha wazi wazi ndio upeleke kwa fundi wa ukweli.