Msaada mstari wa blue kwenye kioo cha laptop.

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
823
213
Habarini wadau naomba msaada wenu kuna mstari wa Blue unatokea kwenye kioo cha laptop yangu japo haijafikisha hata mwaka toka inunuliwe lkn unatokea mara chache chache sana kama baada ya miezi 3 ndo unatokea tena paka now umetokea mara mbili tuu tatizo linaweza likawa nini...??? Asante.
 
hiyo screen ina tatizo. na hilo tatizo linaweza kukomaa kadiri siku zonavyosogea. kama ulinunua laptop dukani na ipo kwenye Warranty piga picha wakati mstari unaonekana na uwarudishie wenyewe. kama ulinunua used basi subiri hadi tatizo litakapojidhihirisha wazi wazi ndio upeleke kwa fundi wa ukweli.
 
Pouwa mkuuu ngoja niaangalie maaana unatokea na kupotea kama sekunde kadhaaaa tuuuu na hii utokea ikiwa kwenye chaji....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom