Msaada;mshahara wa profesa

Msaada;mshahara wa profesa

Baba mtata

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
280
Reaction score
40
Habari wakuu
Naomba kujua hivi hawa maprofesa wanaofundsha vyuo vya hapa bongo mfano pale udsm,mzumbe,sua,udom wanalipwa shilingi ngapi nataka nihusianishe na mchakato wa upatikanaji wake mana mtu mpaka ukawa profesa siyo mchezo
Nawasilisha
 
ujue, ufahamu upate nn
 
Kama unaujua mchakato wa upatikanaji wa maprofesa nina imani kabisa hata mshahara utakuwa unaujua maana haiwezekani ujue sehemu ngumu then sehemu nyepesi ikushinde
 
ujue, ufahamu upate nn
Haya ndiyo mambo ya msingi sana ambayo Wa-Tanzania hushindwa kuwasaidia wenzao. Kijana anauliza anataka kujua. Hii inaweza kuwa changamoto na HAMASA (Inspiration) ili naye aweze kuelekea kwenye hiyo njia (Career path).

JF Imekuwa na msaada mkubwa sana katika kusaidia watu wengi sana wanaotaka kujua mambo mengi sana. Msaidieni huyu kijana anawezakuwa ndiyo Profesa wa KESHO!

sio mkubwa,ndo maana wanakimbilia ubunge.eg Mwandosya,maghembe,Mwakyembe,Msola
 
Mimi ni mtoto wa prof. Dady analipwa m 5 baada ya tax udsm
 
Kuna ngazi mbalimbali za uprofesor sasa sijajua wew unazungumzia uprofesa ktk ngazi gan?kuna associate professors,full professor and full bright professor!most of professors in tanzania are associate professors.mishahara ya associate professors ina range from 2millions to 3millions!
 
Their gross salary is 4.8M for a full prof, but they also get bonus from their administrative(25% of gross salary/month) and research(75%-80% of the whole project) activities!
 
Kuna ngazi mbalimbali za uprofesor sasa sijajua wew unazungumzia uprofesa ktk ngazi gan?kuna associate professors,full professor and full bright professor!most of professors in tanzania are associate professors.mishahara ya associate professors ina range from 2millions to 3millions!

naomba ufafanizi hapo kwenye RED! tafadhali
 
Back
Top Bottom