Msaada! Msaadaaaa...tafadhaliiì...

Msaada! Msaadaaaa...tafadhaliiì...

Second hand

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
72
Reaction score
7
jamani msaada wenu! Nipo kwa jirani yangu kwa bahati mbaya nilipretend km fundi, nimechokoza kale ka antena ka startimes ka ndani. Sasa inasearch mda mrefu. imeandika 35 receaved, 2 channel searching, 538 mhz, chini kuna 30% .THEN signal strength ni 36% NA signal quality ni 60%. JAMANI MSAADA KABLA YA SAA 1 Coz mwenye nyumba akija basi leo ntakoma mie... Msaada plz
 
Kaguseguse tena katonyesha tu. Kwani unaishi bure? Kama anasumbua muachie kanyumba kake.
 
Pole sana lkn wataalam watakuja usijali hapa ndo jf.
 
jamani msaada wenu! Nipo kwa jirani yangu kwa bahati mbaya nilipretend km fundi, nimechokoza kale ka antena ka startimes ka ndani. Sasa inasearch mda mrefu. imeandika 35 receaved, 2 channel searching, 538 mhz, chini kuna 30% .THEN signal strength ni 36% NA signal quality ni 60%. JAMANI MSAADA KABLA YA SAA 1 Coz mwenye nyumba akija basi leo ntakoma mie... Msaada plz
hahaha.....#mbavu zangu
 
jamani njooni leo mnipe msaada maana jana nusura nikatwe kofi!

Umerudi tena au walikuweka kizuizini tokea jana? Kuna.kaka mmoja from Tunduma ni wizard wa hizi mambo, soon atakujibu, kua mvumilivu.
 
Jaribu kurud eneo ambopo ulikuta hyo antena,pia sema upo mkoa gan?
 
seriously jamani tatizo baado sijalitatua; jana ilasearch local tv zikaja mbili 2 {itv,eatv} .Zikapotea tbc na chanel 10. SO Leo sijui imekuwaje itv na eatv mara zinascrach au no signal kabisa. Miye niko mby! Leo wenye nyumba wametafuta fundi wamemkosa
 
Tatizo huelezi vizuri ulikuwa unafanya nini naona umepanic. Cha kwanza cheza na antenna mpaka upate signal ya juu inayowezekana. Mimi pia niko Mbeya signal ni 45, quality ni 60 muda huu. Sasa ukishapata signal ya juu , fanya automatic search usijali kama inachelewa subiri imalize channel zitatokea kama signal ni nzuri. Tambua kuwa naswala ya signal sio antenna setting peke yake ni pamoja na program signal strength toka kwenye broadcast source. Ok sasa kama shida yako ni kuweka channels zenye startv fanya automatic search kwa kuweka 530 Mhz. Usipanic tulia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom