KiharoAbel
Member
- Jan 8, 2014
- 43
- 6
Jamani mimi naomba mwenye mawasiliano (namba za simu) za shule ya St. mary's ya mbeya ya wasichana (advance) anisaidie ,, then na anaefaham ada yao asisite kunambie
ata matokeo yao ya kidato cha sita mwaka huu pia asisite kunambia
God bless you
ata matokeo yao ya kidato cha sita mwaka huu pia asisite kunambia
God bless you