Msaada, Msaada tafadhali

Msaada, Msaada tafadhali

kaguo07

Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
15
Reaction score
0
mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 19 nipo dar. nilikuja kufanya kazi huku tokea mwezi wa 6 mpaka sasa!! lakini jana bossi wangu kanifukuza kwa kudai kuwa biashara haiendi na pia hana pesa ya kunilipa. Mshahara wngu wa kwanza alinilipa lkn kwasasa kakataa kunilipa kwa kudai kuwa biashara haiendi vizur pia niondoke maana hana kazi ya kunipa na pia mshahara wngu wa pili hajanipa na kusema niondoke bila kupewa nauli!! tafadhari kama unaweza kunipa kazi yoyote halali nipe maana maisha yangu yatakuwa magum sana kwasasa km una kazi tafadhari nitafute kupitia 0713465548 asanteni sana.
 
Nenda serikali za mitaa kamshitaki hyo bosi wako ili akupe mshahara wako,baada ya hapo ndiyo utajua ufanye nini
 
Dai haki zako kwanza, nenda kalime,sehemu za kulima nyingi tu. Kwani wewe si kijana wa mikoani? maeneo ya kulima mengi tu, labda uvivu wako.
 
nakumbuka nlisha mwamini mtu, nika mkabidhi kitengo cha jiko la chips bar flani mabibo

nikamfanya kama mdogo wangu na pesa yake ya mshahara sikuwahi kum cheleweshea lakini alikuja akanikimbia na pesa zote!!! sina hamu.

yani wengi wanakuja mikono nyuma lakini wana yao nyuma ya pazia!!!
 
Last edited by a moderator:

hapana kaka sio wote 2po ivo ila ni baadhi 2 km iyo kazi ipo nipe mm cwez kukimbia na pesa zako ndugu yngu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom