heshima zenu wana jf ninayo laptop ya dell ins 6000 hdd 60 gb ram 512mb ya kizamani kidogo hdd yake inaonyesha imekufa imekufa na niko mikoani,baada ya ku google inaonyesha max hdd capacity kwa hii lap ni 120gb,kwa wajuzi je nitapata wapi hdd ide ya hiyo 120gb na je ninaweza ku improve memory iwe ram 2gb na gharama zake zinaweza kufika shs ngapi!!!!natanguliza shukuran zangu.