dell inspiron 6000 msaada please | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

dell inspiron 6000 msaada please

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by emike, Sep 24, 2012.

 1. e

  emike JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wana jf heshima zenu, tangu jana laptop yangu imezima ghafla na haifungui windows xp, imeshindikana ku reboot upya, kwa wale wajuzi kila ikifikia ile hatua ya recovery console nikijaza chkdsk inanipa majibu kwamba kuna more than one unrecovered items, je hii inaashiria hdd imekufa au!!!, na kama imekufa naweza kupata files zangu!!! nitashukuru kama mtanipa ushauri wa kutatua tatizo hili
   
 2. e

  emike JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  heshima zunu wana jf tatizo langu nililodokeza hapo juu bado sijapata ushauri wowote,pili ningeomba wadau wa it je nikifanya replacement ya hdd,dvd rom na battery inaweza kungarimu kiasi gani na mafundi wazuri wa computer hardware wako wapi hapo dar!!! Natanguliza shukurani zangu!!!!
   
Loading...