Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
mambo vipi wana jf najua hili ni jukwaa la technology na kila mtu ana haki ya kupost kile kinachomtatiza juu ya technology lakini to be honest misaada imezidi na mingine haina hata haja ya kuletwa humu jamvini,unaweza ukaitatua mwenyewe na siku hizi kuna msaada wa google kila kitu unachokitka unakipata huko,hata hao ambao wanakusaidia na wenyewe wanapata ujuzi wao kutoka google so guys tujitahidi kidogo kuwa wadadisi haipendezi forum kama hii kuona page nzima imejaa misaada misaada,mara huyu ipad imeanguka huyu simu imeingia maji, wasiwasi wangu ipo siku mtu ataleta msaada umeme umekatika na tv yake haiwaki
tujitahidi tubadilike wadau,kama nimekuudhi sorry ni mtazamo tu!!
tujitahidi tubadilike wadau,kama nimekuudhi sorry ni mtazamo tu!!