Kokwa kavu JF-Expert Member Jan 3, 2012 220 41 Oct 10, 2012 #1 naomba kujua kama data entry ya nida kama wemeshaita watu mimi ni mmoja ya waliofanya interview
Tayana-wog JF-Expert Member Feb 26, 2012 23,144 26,651 Oct 11, 2012 #2 mmhh,i think bado coz nina frnd wangu pia alifanya nae anasubiri
K kimora New Member Sep 30, 2012 2 0 Oct 12, 2012 #4 mi mwenyewe nilifanya interview nida but nimesikia kuna watu wameitwa tayari
Kokwa kavu JF-Expert Member Jan 3, 2012 220 41 Oct 12, 2012 Thread starter #5 kimora said: mi mwenyewe nilifanya interview nida but nimesikia kuna watu wameitwa tayari Click to expand... Wewe hujaitwa umeckia kutoka wap?
kimora said: mi mwenyewe nilifanya interview nida but nimesikia kuna watu wameitwa tayari Click to expand... Wewe hujaitwa umeckia kutoka wap?
Kokwa kavu JF-Expert Member Jan 3, 2012 220 41 Oct 16, 2012 Thread starter #6 cjui hawa jamaa wataita lini?