Msaada Msaada biashara ya kuku sio wale wa kufuga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Msaada biashara ya kuku sio wale wa kufuga.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by RockyII, Mar 5, 2012.

 1. R

  RockyII Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana jf nna wazo la kufanya biashara ya kuku wale ambao tayar washa chinjwa yan wale tunao nunua madukan au kwny ma supermarkets.
  Nahitaj kujua bei ya jumla inakuaje na wanapatikana wap, nataka nije kuwauza kwa reja reja mtaan kwangu amabapo wa2 wanafunga safar ndefu kununua kuku hao..
  Wana jf yyte anaye jua kuhusu biashara hii anipe muongozo bas. Pia kma mtaweza niambia bei yao kwa reja reja sa iv imefka kias gan kila mtu kwa eneo lake maana mi huku kwangu tunauziwa kwa elfu 5.
  Ahsante sana
   
Loading...