NIMEFANYA Installation ya Ms 2010 ila inadai Activation id, ila wakati nafanya hiyo installation ilitaka CD keys nikaweka na ikakubali. sasa haifanyi kazi yoyote inayohusika na ms word package. msaada tafadhali (mashine ina win 7)

>> Ondoa hiyo office 2010
>> Kisha tumia Search box hapo juu kulia andika OFFICE 2013
>>Download na install hiyo OFFICE 2013 ina activation yake na nibora kuliko office 2010
>> KARIBU