Msaada: Mpenzi wangu nahisi ni tapeli

Demu wangu akija gheto akikuta kuna mkate anabeba......nikaamwambia km ni njaa awe anakula tu gheto ila akawa haelewi nikaamua kumpiga chini
 
Demu wangu akija gheto akikuta kuna mkate anabeba......nikaamwambia km ni njaa awe anakula tu gheto ila akawa haelewi nikaamua kumpiga chini
Hatari kuna kipindi inabidi unaponunua kitu ununue mara mbili. Maana unajua kabisa kingine namnunulia mwenzangu. Ila mkuu hiyo isingekuwa sababu sana ya kumpiga chini.
 
jaap

Watu muna mioyo na uvumilivu , sijui ni utoto au ni kupenda, kilichobakia ni kukuibia kila kitu au kukubambikizia mtoto
 
Nipe namba yake ya simu kunajambo nataka kumwambia na ushauri zaid
 
Hatari kuna kipindi inabidi unaponunua kitu ununue mara mbili. Maana unajua kabisa kingine namnunulia mwenzangu. Ila mkuu hiyo isingekuwa sababu sana ya kumpiga chini.
Mwisho wa siku aliniibia saa niipendayo
Ndo ukawa mwisho wake....
 
Mkuu hujakutana na like ya jamaa

cc mkwepu jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ