Msaada: Mpenzi wangu nahisi ni tapeli

Mara zote hzo bado unatoa pesa tu. Hongera zako baharia mzoefu
 

chaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa wanasema ndege wafananao huruka pamoja, so mkuu mmekutana[emoji3] [emoji3] duh hadi sabuni ya unga aibu gani hii, ila vipi hukumuuliza sabuni kaweka wapi huenda ameimisplace tu humo humo ndanii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah...Kama gem unapewa kiroho Safi...Acha kulialia...toa hela banaa[emoji2960]
Tatizo siyo kutoa hela, tatizo lake uongo mwingi kwenye vitu vidogo vidogo, nilikwenda kwake alipo panga akanitajia vitu anavyo itaji kapeti ,mashuka, na godoro, na simu yake mbovu!! siku iyoiyo nikampa simu na hela yakapeti, baada ya wiki moja kupita nika mwambia nakuletea shuka nikashangaa ananiambia kwani uwez kunitumia hela za mashuka nikamjibu Mimi nipo dukani nanunua kabisa, na nika muhuriza kapeti umeshanunua akajibu ajanunua, Basi nakuletea mashuka tokea nimwambie ivyo ajapokea simu wala kunijibu sms zangu na akazima simu usiku mzima.
 
Kama ana-cheat hadi kwenye jina huyo ni viwango vingine, nadhani mheshimiwa kuwa nae ,unafanya mchezo wa kubet, tena umebeti nyumba pekee ya urithi
Nilipo kutananae Mara yakwanza kanimbia jina lake na kwenye line ya simu kunajina tofauti na alilo niambia mwanzo nikamuuliza hakasema yote majina yake, kunasiku nimeenda alipo panga nikasikia wapangaji wenzakwe wanamuita jina ambalo silijui wala ajawai kuniambia.
 
OK... Fanya hivi, Jitahidi umbadilishe nakama anakupenda atabadilika,

Asipobadilika, ACHA KUPOTEZA MUDA WAKO !!!TEMANA NAYE
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo pole mzee umepotea njiaa... Dangaa hiloo mamaee hakuna mashuka wala mito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…