Aaaah! Huyo Dada anayake,.
Ila zaid n kuwa hakuamin, kama anasearch mifuko ya surual, simu si ndo itakuwa balaa?..
Haamin chochote unachomwambia,
so be careful aisee
nafikiri alisha wahi kua mwizi...au anatokea kwenye familia za kifisadi...nakushauri toa taarifa mapema kwenye kituo cha polisi kilicho karibu nawe....
nafikiri alisha wahi kua mwizi...au anatokea kwenye familia za kifisadi...nakushauri toa taarifa mapema kwenye kituo cha polisi kilicho karibu nawe....
Wasiwasi wako nini??? mwache asachi muhimu asikuibie.
Au mtege uache pesa alafu baada ya muda uangalie je?? ziko sawa, ukikuta zimepungua basi ana tabia ya udokozi, ukikuta ziko sawa basi ni hulka yake.
We m2 mzima fanya majaribio ya kimyakimya weka kiasi kidogo cha pesa mfukoni then uiache kama kawaida kwa makusudi kama mdokozi utagundua tu then u ll have the ans 4 such habit
Mweleze kuwa hiyo tabia haikupendezi kwakuwa hamna sababu ya kukusachi. Mwambie kuwa anakukera kwa hiyo tabia.
Akiendelea nayo, hapo lazma uhamie plan c.
kwani wewe una wasiwasi gani akikusachi? ni kweli kila kitu ni chake na lazima awe na wivu wa mali yake. tena shukuru sana manake anakuweka on toes usije ukamisbahave. kaka unajua mwanamke ndo huijenga nyumba yake mwenyewe na asipotumia mbinu kalikali basi chelewa chelewa itampata mwana si wake. nampongeza huyo dada.