Msaada: Mpenzi wangu ana mwili baridi

Msaada: Mpenzi wangu ana mwili baridi

Nimesahau kukuuliza mtoa mada...Vp huyo demu ana tako (msambwanda)? Au ni flat screen (ubao/pasi)
 
Mnakaa mafinga,mbeya,njombe,makambako au penye 14°C utegemee awe na joto la mwili kweli?
Hamieni huku Dar es salaam utamkimbia mwenyewe,joto mpk linatoa uvundo 33°C
Utaacha lawama.😅😅
 
Hizi kesi nishakutana nazo Mara kibao kipind Cha ujana wangu.

Hasa kwa wanawake wale wenye ngozi nyeupe Sana.

Hii KITU sijui huwa inasababishwa na Nini?[emoji848]

Wataalam njooni mtutoe tongotongo
Mkuu.
Wanawake weupe miili yao ni ya baridi na ngozi zao ni laini.
Hivyo ukilijua hilo hutolalamika
 
Hope mko salama

Nina mpenzi wangu yaani ni kati ya wale wanawake wenye damu baridi yaani hana joto kabisa wa baridii.

Kwa hiyo hata tukiwa kwa bed no ladha kabisaaa sema namsifiaga tuu ila kiukweli hana ladhaa kabisaaa kapoaa sana.

Naombeni msaada kama kuna dawa anaweza akatumia akawa wa moto.
Ikiwa ni mweupe jitahidi umchukulie.
Wanawake weupe miili yao ya baridi na maumbile ya huko Ikulu ni laini mno.
 
Nilikuwa na Mrwanda wangu mrembo kama hajazaliwa lakini ikulu ni ya baridi mno.
Japo ukimpa vizuri analia hadi machozi.
Lakini ulaini na ubaridi utakufanya usitamani kurudia tena.
Umenikumbusha galfrend Wang msweden kipind abroad, nae alikua wa baridi mpk nikajiuliza wanaume wa uku wanaishije[emoji1]
 
Umenikumbusha galfrend Wang msweden kipind abroad, nae alikua wa baridi mpk nikajiuliza wanaume wa uku wanaishije[emoji1]
Hao ndio kabisaaa.
Huwa tunavutiwa na mabinti weupe bure lkn wanawake maji ya kunde na weusi wana uzuri uliojificha.
Wana Kei nzuri sana wengi wao na sio wote.
 
Nilikuwa na Mrwanda wangu mrembo kama hajazaliwa lakini ikulu ni ya baridi mno.
Japo ukimpa vizuri analia hadi machozi.
Lakini ulaini na ubaridi utakufanya usitamani kurudia tena.
Nikaja kutana na Indian mmoja wa wakununua kule exotic,
japokua alikua miuno feni na Mambo aliyajua.

Ila Sasa ule ubaridi ndani, Kiukweli niliijutia sana pesa yangu[emoji26]
 
Hope mko salama

Nina mpenzi wangu yaani ni kati ya wale wanawake wenye damu baridi yaani hana joto kabisa wa baridii.

Kwa hiyo hata tukiwa kwa bed no ladha kabisaaa sema namsifiaga tuu ila kiukweli hana ladhaa kabisaaa kapoaa sana.

Naombeni msaada kama kuna dawa anaweza akatumia akawa wa moto.
mfanyishe mazoezi ya "squat" damu itachemka automatically na utarudi kuomba procedures za kumpoza tena
 
Hahaha umezurura sana wewe
2015 nmepita na mchina mmoja pale Blue pearl, Nadhan yule ndo alikua angalau na joto.
Sema ilkua Ni one-night stand tu na hatukurudia tena Tena, nilialikwa ilkua mwaka mpya wa wachina ilifanyika pale[emoji4]
 
Hizi kesi nishakutana nazo Mara kibao kipind Cha ujana wangu.

Hasa kwa wanawake wale wenye ngozi nyeupe Sana.

Hii KITU sijui huwa inasababishwa na Nini?[emoji848]

Wataalam njooni mtutoe tongotongo
Mzee ulipiga sample za kutosha😀😀
 
Back
Top Bottom