DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,611
Kumbe Tunafanana mkuu[emoji4]Upo sahihi wanawake weusi wana joto kali sana na weupe sana wana baridi
Kumbe Tunafanana mkuu[emoji4]Upo sahihi wanawake weusi wana joto kali sana na weupe sana wana baridi
Hata huyu wangu ni mweupeeHizi kesi nishakutana nazo Mara kibao kipind Cha ujana wangu.
Hasa kwa wanawake wale wenye ngozi nyeupe Sana.
Hii KITU sijui huwa inasababishwa na Nini?[emoji848]
Wataalam njooni mtutoe tongotongo
Asante sana nitamuambiaMwambie awe ana kunywa chai yenye tengawizi kila siku huongeza joto kule kwa bibi. Thanks me later
Yes, hyo Hali utachange akinywa mfululizo atapata joto la hatari mnoAsante sana nitamuambia
Naombeni msaada kama kuna dawa anaweza akatumia akawa wa moto.
Hope mko salama
Nina mpenzi wangu yaani ni kati ya wale wanawake wenye damu baridi yaani hana joto kabisa wa baridii.
Kwa hiyo hata tukiwa kwa bed no ladha kabisaaa sema namsifiaga tuu ila kiukweli hana ladhaa kabisaaa kapoaa sana.
Naombeni msaada kama kuna dawa anaweza akatumia akawa wa moto.
Asante sanaPole kwa unayopitia na mwenzio.
Pia hongera kwa kufuatilia afya ya mwenzio na kujaribu kutafuta utatuzi.
Njia ya uzazi kwa akinamama iko ndani ya mwili, hivyo joto lake hufuatana na joto la mwili pia.
Kuna mambo matatu ambayo yanaweza kusababisha mwili kuwa wa baridi kama si mazingira ndo yameuzidi mwili kwa baridi kushuka sana.
1: Hali ya afya ya mwili. Ili mwili uweze kuwa na uwezo wa kuzalisha joto, inabidi uwe na vyanzo vya nguvu vya kutosha. Hivyo, afya njema ni msingi muhimu. Kula mlo kamili ( vyakula vya wanga, protein, matunda na mbogamboga ni muhimu)
2: Ufanyaji kazi wa tezi la thyroid. Hili ni tezi linalohusika na mfumo wa utoaji nguvu pamoja na joto mwilini. Utendaji wake ukiwa chini inaweza kuwa sababu pia.
3: Kuna matumizi ya baadhi ya dawa ambazo pia husababisha mwili kutokutoa joto ipasavyo.
Hivyo, ni vyema kufika naye hospitali. Mtoa huduma atapata historia ya mgonjwa, kunaweza kukawa na mengine ambayo yanaweza kumsaidia mtoa huduma kufikia hitimisho au akaomba pia afanyiwe vipimo ili kufikia mwafaka.
Kwa hiyo tunafanyeje kusudi awe na joto kunako maeneo?Huyo ni POIKILOTHERMIC yupo kundi moja na mijusi
Msaidievaishi maisha kama ya kenge au mjusi, jua likiwaka kamwanikeKwa hiyo tunafanyeje kusudi awe na joto kunako maeneo?
Upo sahihi wanawake weusi wana joto kali sana na weupe sana wana baridi
Sawa.[emoji3526]Msaidievaishi maisha kama ya kenge au mjusi, jua likiwaka kamwanike
Hata huyu wangu ni mweupee
Wazungu sio watamu sana kwenye sex Tek it from me the masterKwahiyo hata Wanawake wa kizungu ni damu baridi (cold blooded) au sio??!!
Hamna dawa mkuu endelea tu kumsifia japo ni wa baridi kama samaki au tikiti lililo lala nje.Hope mko salama
Nina mpenzi wangu yaani ni kati ya wale wanawake wenye damu baridi yaani hana joto kabisa wa baridii.
Kwa hiyo hata tukiwa kwa bed no ladha kabisaaa sema namsifiaga tuu ila kiukweli hana ladhaa kabisaaa kapoaa sana.
Naombeni msaada kama kuna dawa anaweza akatumia akawa wa moto.
Jf sihami aiseeMsaidievaishi maisha kama ya kenge au mjusi, jua likiwaka kamwanike