Msaada: Mpenzi mpya kazira nifanyaje?

Uyo jamaa nae Ni fala Tu, Dem Ata kutype hajui halafu ye anampandia adi pipa kabisa,Mara sijaaga,Mara rafiki,Mara tupange maisha,Mara naombeni ushauri,yan mtu atoke Dar paka mbeya kuja kufanya makubaliano..namashaka na umri wko
 
Hafai Huyo.hachana nae.atakumega na ndoa hamnaa.hana uvumilivu,akili yake inawaza ngono tu.atakusumbua mbele ya safari.
 
Sasa hapo cha kumuua mtu nini? Acheni kujiendekeza na nyie.
 
'Maongezi yetu'

Teh teh teeeeh!! Pole sana kumbe ni wewe[emoji85] [emoji85]
 
Reactions: BAK
Sasa hapo cha kumuua mtu nini? Acheni kujiendekeza na nyie.
Mungu hajaumba binadamu wa kufanana. Huyo jamaa atakuwa aliondoka akiwa so frustrated na hasira tele kama alikuwa hana mwanamke mwingine
 
Maongezi yenu wapi huko? Aibu ya nini sasa? lol! Mh! Pole mie! Pole kwa lipi atoto? Nilishawahi kumwambia rafiki wa kutoka utotoni aliyetaka kutia timu pamoja na kuwa hakutakiwa awepo kwenye timu husika. Mmekaa wenyewe Jumapili jioni sehemu sehemu baada ya kujirusha sana Jumamosi, njemba inazuka na kuvuta kiti, nikakosa raha. Nikavuta dakika chache nione kama atakuwa mstaarabu ajikate lakini njemba inazidi kuongea tu maongezi ambayo mimi na mwenzangu hatuna mpango wa kushiriki wala hatukuyahitaji. Nikamtolea uvivu na kumwambia tuna maongezi muhimu hivyo naomba atupishe. Nadhani jamaa alinimind sana.

'Maongezi yetu'

Teh teh teeeeh!! Pole sana kumbe ni wewe[emoji85] [emoji85]
 
Sasa na wewe ulibebaje rafiki na kwenda nae?? Aisee watu wengine huwa hamuwez kuwa wasiri hapo ulishamuadithia shoga yako sasa ukataka akamuone na mtu mwenyewe.
 
You can have sex on the first date and he ends up loving you until the day after forever. You can also wait for 5 years before having sex with him and you get dumped right after that sex. Just pray for a heart that will love you bse there is no manual for keeping a Man U can only keep a man who wants to be kept.
 
If he truly loved u asingekasirika alipaswa athamini na kukuona una maadili mema! Binafsi naona si mume huyo! Tulia usimtafute kama Mungu amepangia daima mtakuwa wote he will still come back.
 
Ofcoz yawezekana hajaridhika na ww haiwezekan mtu akwee pipa kisa mchezo pesa anatoa wap ka izo,

Au ndo dharuraaa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kuna ki2 kinaitwa expectation
 


Yani umeongea kama vile wewe ndo huyo 'jamaa'


Anyway, SEX is something serious hata kama tunaichukulia poa! Sex sio kufahamiana, ni kujuana!!! Sasa kujuana na mtu ambaye hata hamjafahamiana...sijuiiiii!!!

Nimependa ambavyo huyu dada -ingawa naively, yani bila kujijua- alienda na rafiki yake. Maana ama hakika angekuwa peke yake angegegedwa na bado mshkaji angesepa kesho yake.


Amin amin nakuambia mtoa mada, usijaribu kumtafuta huyo jamaa...he only came for your body and not you!!!

Niamini mimi.
 

There is a manual my friend...

Hii ya huyu jamaa yake hata kama ingefanikiwa kufikia ndoa ni zile tungeziita exceptions...huyu wametongozana kwa simu...kakubaliwa na wakakubaliana aje Mbeya waongee. Kafika Mbeya na kutaka mchezo the same day.

Hii hata kwa hesabu za kujumlisha tu huwezi nidanganya huyu mwanaume alikuwa akimpenda huyu binti aisee... [HASHTAG]#bado[/HASHTAG]
 
pipa kwenda kurudi + hotel + dinner nani kalipia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…