msaada: mozila inakataa kufungua google

Coping Strategy

JF-Expert Member
Mar 30, 2014
439
384
wakuu msaada wenu, nikisearch vitu kwa kutumi google, connection inakaa ila nikitumia yahoo, wikipedia inakubali.
 
Mkuu upo china nini? Labda mambo ya Chinese great firewall hayo:). Vipi ukitumia other browsers e.g IE unaweza kuload? Kama uwezi jaribu kuangalia settings za mozila network connections, labda unajaribu kuconnect Internet through proxy? If yes change it to no proxy.
 
thanks kwa msaada, nimeset saa ikakubali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom