Habarini wadau mbalimbali, naomba kuelekezwa namna ya kutoa pesa kwa money gram maana mi ni mugeni kwenye huduma hii nimetumiwa pesa toka mashariki ya kati sasa nataka nikaitoe yeye kaniambia ametuma kwa money gram, na je leo jumapili naweza fanya muhamala huo? Mi nilimtumia tu account yangu ya nmb sasa sijui yeye katuma tuma vipi!
Nawasilisha.
Nawasilisha.