Msaada Moderm

MTU MREFU

Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
60
Reaction score
7
Moderm yangu ya tGO nli ichakachua,nshaitumia zaidi ya miaka miwili,ila jana imegoma haisomi chochote hata kuonyesha kama imewekwa,hv moderm nazo zinakufa!kama kuna mwenye ujuzi anijuze tafadhali
 
tafuta default setting zake uziweke uone kama itakataa..
 
ukijaribu kwenye compyuta nyingine tatizo linaendelea?
 
ukijaribu kwenye compyuta nyingine tatizo linaendelea?

hilo tatizo sio geni, kweli hata ukiweka kwenye kompyuta nyingine uwa zinazingua tu hazikubali, mimi nnachofanya uwa na upgrade firmware zinatinga kama kawa maana hili tatizo lipo kwenye modem za huawei hasa zile za tigo
 
najua hapo sielewi,uta upgrade je firmware wakati modem hata ukienda device manager kwenye ports haionekani,,,kuna thread nyingine ya modem kila mtu ana-suggest hiki kitu,,,tuelezeni basi hapo vizuri,,yangu ni airtel e153
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…