Msaada moderm nyekundu ya airtel

Msaada moderm nyekundu ya airtel

sikiolakufa

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2010
Posts
411
Reaction score
55
Wakuu nisaidieni...hivi nikitaka kurecharge voucher kwenye moderm ya airtel nafanyaje? Mbona haina writing pad au sehemu ya kurecharge hata star au harsh key hazionekani kila mara nilazima nitoe sim card niweke kwenye simu ili ni recharge...is there other way?
 
hizo star huwa hazifanyi kazi,,una uhakika haina sehemu ya kuweka namba za vocha,kuna baadhi unaweka tu namba mfano 11111111111111 bila kuweka nyota.kama haina ujue itakulazimu tu uwe unatoa line.
 
hata kuna nyeupe (huawei) za airtel znatatzo hilo. nishazoea kuweka ktk cm kwnz
 
kuna sehem imeandkwa short code sasa nyota pga shift+8 na kupata reli
shif+3
 
Wakuu nisaidieni...hivi nikitaka kurecharge voucher kwenye moderm ya airtel nafanyaje? Mbona haina writing pad au sehemu ya kurecharge hata star au harsh key hazionekani kila mara nilazima nitoe sim card niweke kwenye simu ili ni recharge...is there other way?
Unatumia device gani? Mbona mimi na-recharge moja kwa moja kwa kutumia default dashboard ya modem husika? Star na Harsh tumia za kwenye pc.
MODEM NYEKUNDU.jpg

Lete feedback kama umefanikiwa.
 
Back
Top Bottom