Msaada: Moderm inagoma kuconect....

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,136
27,083
Wadau moderm yangu inasumbua kuconect.. ni hizi za universal sasa toka ninunue iliwahi kubali line ya voda mara moja baada ya hapo imenigomea kabisa!

Kama kuna mtu anajua setting zake au trick yeyote kutumia anisaidie!

Nb: nauliza pia njia ya kuchakachua moderm ya voda!
 
Hembu jaribu kwenda kweny. Control panel unistal hiyo dash board ya hiyo modem then install upya uone
 
Back
Top Bottom