Jeff JF-Expert Member Joined Sep 26, 2009 Posts 1,293 Reaction score 202 Apr 10, 2013 #1 mkuu mimi nina modem ya vodafone k350-z nataka ku unlock lakini haisomi kabisa line ya vodacom, so nashindwa kui unlock, naombeni msaada wenu
mkuu mimi nina modem ya vodafone k350-z nataka ku unlock lakini haisomi kabisa line ya vodacom, so nashindwa kui unlock, naombeni msaada wenu
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,944 Reaction score 810 Apr 11, 2013 #2 Jeff said: mkuu mimi nina modem ya vodafone k350-z nataka ku unlock lakini haisomi kabisa line ya vodacom, so nashindwa kui unlock, naombeni msaada wenu Click to expand... Uiunlock vipi wakati ipo unlocked tafuta joinair
Jeff said: mkuu mimi nina modem ya vodafone k350-z nataka ku unlock lakini haisomi kabisa line ya vodacom, so nashindwa kui unlock, naombeni msaada wenu Click to expand... Uiunlock vipi wakati ipo unlocked tafuta joinair
TEAMZAX Member Joined Mar 25, 2013 Posts 22 Reaction score 3 Apr 11, 2013 #3 Connection manager-zte join air,3b browser.