Naisoma360
JF-Expert Member
- Jan 23, 2015
- 820
- 491
Nina modem ya airtel wi-fi wingle model E8231s-1 kwa anayeweza ku-unlock kama yuko Dar ani-PM.
Nina modem ya airtel wi-fi wingle model E8231s-1 kwa anayeweza ku-unlock kama yuko Dar ani-PM.
Weka line nyingine then hi pugin kwenye kifaa chako ikiomba unlock code weka hizi Unlock Code 41102677866055013242877
mkuu zmekataa. inaandika "The device is not responding"Weka line nyingine then hi pugin kwenye kifaa chako ikiomba unlock code weka hizi Unlock Code 41102677
mkuu zmekataa. inaandika "The device is not responding"
alafu?Andika "why?"
yes ni huaweiNi huawei ?
mkuu ulipata msaada wa hyo modem yakoKimya???????????
Hapana Mkuumkuu ulipata msaada wa hyo modem yako