msaada:modem inaniambia the device is unavailable

ProBook

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
558
257
Salamu kwenu wakuu..naomba msaada hapa kidogo wa mawazo maana mimi nina modem ya safaricom Huawei E220 na inashida ya device kujidisconnect pale tu ninapo open browser inaniambia the device is unavailable then inaanza kujidetect yenyewe again lakini ukifungua tu browser linarudia tatizo,,wakuu mnaweza mkanisaidia labda inaweza ikawa na shida gani?
asanteni sana
 
Back
Top Bottom