Mtu-Pori
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 1,308
- 1,520
Wiki 2 zilizopita nilichomoa flash drive toka kwenye laptop kabla sija-disconnect application, laptop ikazimika ghafla. Nilijaribu kuiwasha kama mara 5-6, ilikuwa inawaka na kuzimika baada ya sekunde kadhaa. Baada ya kuhangaika kama dakika 10 ilikubali kuwaka na files zilikuwa ok, ila nilichogundua ni kuwa USB ports zote (3), webcam na Bluetooth hazifanyi kazi.
Nikaanza ku troubleshoot (mimi ni amateur tu, sio expert but i'm fond of electronics) kwa kufuata instructions toka kwenye links tofauti. Kwenye Universal serial bus controllers, unknown device ili-report hivi, "Windows has stopped this device because it has reported problems (Code 43)". So nikaaza troubleshooting ihusianayo na hiyo error code.
Niliyoyafanya ni pamoja na (in no particular order):
1. Uninstalling USB drivers and restarting PC ili iweze kufanya instalation yenyewe
2. Restoring system to the previous date
3. Removing adapter na betri for 5 minutes na kuvirudisha
4. Updating USB drivers from the manufacturer's web
5. Updating BIOS, software from manufacturer's web
6. Installing a fresh copy of windows
Yote hayakutatua tatizo. Na sasa wakati mwingine napata notification kuwa USB device niliyo connect
haitambuliki, huku sija connect USB device yoyote. JE, HILI NI TATIZO LA HARDWARE, AND HOW DO I GO ABOUT TO SOLVE IT? NAOMBA USHAURI.
Sytem niitumiayo ni Toshiba satellite C850 F03A, processor ni Intel i3 (2.40GHz), HDD 500GB, RAM ni 4GB
OS ni Windows 7 Ultimate (x64)