platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,537
Morning.
Nina modem tatu, Vodacom, Zantel na Airtel na zote nime-install kwenye laptop yangu.
Juzi baada ya kuishiwa bundle kwenye modem ya Vodacom nilichomeka modem ya Zantel kama kawaida kwenye pot ya Laptop yangu ili kupata net.
Matokeo yake ikafunguka Voda na cha kushangaza ikaonyesha kabisa zile alama za minara, nilipo-connect ikakubali. Na nilipojaribu ku-surf internet ikakubali pia, mpaka muda huu natumia Voda net (?) ingawa nimeweka modem ya Zantel.
Nauliza wataalam/wazoefu, ni nini kilichotokea? Kama itakuwa natumia bundle ya zantel why itokee Voda na ikubali ku-connect?
Kama natumia internet ya Voda why ikubali wakati nimeweka modem ya Zantel?
NB: Speed ni ya kutosha kabisa.
Cc: CHIEF MKWAWA @njwani wa mavoko Paje

Last edited by a moderator: