MsAADA: MOBILE SETTINGS 4 AIRTEL INTERNET

MsAADA: MOBILE SETTINGS 4 AIRTEL INTERNET

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
wakuu nimejaribu kurequest settngz kwny cm yang lakn naona hawanitumíi so nataka niingize manually kwaio naomba msaada wa vi2 kama apn,subnet mask na vyote ambavyo vitanisaidia kubrowse. Shukran wakuu
 
niliwahi kufanya hii kitambo sana lkn pale kwa apn unaweka 'internet' hapo unakuwa tayari ingawa nadhani ktk kila simcard lzm service provider wako aruhusu /enabled/ hiyo huduma
 
Kama hiyo imegomajaribu hii
APN: Airtel TZ
IP-ADDRESSS: 10.10.09.30
Port:8080
 
yestday mie nimefanya manual, na ki2 inamata hapo ni kuwa na server ip adr yao mbayo ni 10.246.17.81 alaf port numb ni 8080. Phone ip weka iwe automatic.
 
yestday mie nimefanya manual, na ki2 inamata hapo ni kuwa na server ip adr yao mbayo ni 10.246.17.81 alaf port numb ni 8080. Phone ip weka iwe automatic.
 
apn weka internet,mambo mengine acha blank
 
Manual settings haitakubali.....ni bora upige simu Customer Care ili wai-activate internet kwa ajili ya line yako....halafu ndio uweke manual settings yeyote hata ya vodacom itafanya kazi....kama kwangu....
 
naomba mnisaidie jinsi ya kuunganisha tecno T511 na internet ya airtel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom