Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,763
- 27,154
Zingatia: Hii ni nyuzi serious, haihitaji utani wala dhihaka. Kama huna ushauri, endelea kuperuzi kwenye majukwaa mengine.
Mwezi uliopita niliandika uzi wa kuomba ushauri na msaada wa kupunguza uzito.
Nimefuata ushauri na kumpata mtaalamu wa lishe, amenitengenezea mpango wa chakula na inabidi nipunguze kabisa vyakula vya wanga, nile protein na mbogamboga kwa wingi.
Changamoto: Hivi vyakula vya majani majani vinanikosesha raha maana nilizoea chapati, wali, ugali, viazi na vyakula vya ngano. Mnaopenda mboga za majani au ambaye alipitia hii process ya kujilazimisha kuzila, ulifanyaje?
Hiyo hapo chini ni dinner yangu ya leo (nakula hivyo vidude vinne) ila najionea tabu tu. Nisaidieni mawazo na mapishi / recipe nzuri kwa ambao mnafahamu.
Cc:
Mwachiluwi kwa recipe ideas
na
makutupora
realMamy
Nomadix
Mallerina
bonjov
For emotional support 😌 mje mnifariji napitia magumu 😂😂