Faith
Member
- Jul 9, 2008
- 52
- 11
Mimi ni mwanamke, nilieolewa tatizo linalonisumbua ni kua mume wangu nashindwa kum-define ni mchafu au anatatizo mana hapendi kabisa kiuoga esp jioni! smtimes hadi namtisha kua simpi uroda mpaka aoge ndo ataenda tena kwa kulalamika sana! pia cku za w'end yy huoga jionii yaani anashinda bila kuoga cku nzima, . na huwa naanda maji mm mwenyewe tena yaliochemshwa(mana anapotaka kuoga hupenda kuoga maji ya vuguvugu) unaweza ukaweka bafuni hadi ukaenda kuyatoa!yy anachotaka ni kuoga mara moja kwa cku!sasa akioga asubuhi anavoenda kzn ndo bac akirudi haogi
nifanyaje?je huo ni ugonjwa au tatizo?
nifanyaje?je huo ni ugonjwa au tatizo?