Inabidi jion hii nikamuulize mamsap kama yeye nae ni memba wa JF maana kama aliyosema Faith yananigusa..LOL
....kaka ina maana hata ukimaliza majambozzz na shemeji huogi???
ninakaa uswahilini so kwa mabafu haya ya kwetu huku haiwezekani kwanza bafu lenyewe dogo mtu mmoja tu hatoshi fresh!
jaribu kufanya bathroom more attractive.i mean weka rose flowers,mishumaa ya harufu and dim lights.then uwe unaoga nae siyo unamuacha tuu mwenyewe probably anaogopa!
Roya, ukioga hautawekewa upupu, ukileta ubishi wako upupu utaukalia!! Chaguo ni lako 🙂Steve chonde chonde...ushauari gani huu? Yaani niwekewe upupu? Kama JF ni hivi naanza kuigopa....
Kuoga nitaoga, lakini hili la upupu! Natafakari kuhamia kwa bi mdogo Sinza kwa Remi....nadhani yeye hamaindi sana nisipoogaRoya, ukioga hautawekewa upupu, ukileta ubishi wako upupu utaukalia!! Chaguo ni lako 🙂
Kuoga nitaoga, lakini hili la upupu! Natafakari kuhamia kwa bi mdogo Sinza kwa Remi....nadhani yeye hamaindi sana nisipooga
...naye tutamshauri ajiunge na JF tumpandishe jazba. huna pa kwenda bali bafuni na mche wa gwanji utakaokutakatisha!!!
Mimi ni mwanamke, nilieolewa tatizo linalonisumbua ni kua mume wangu nashindwa kum-define ni mchafu au anatatizo mana hapendi kabisa kiuoga esp jioni! smtimes hadi namtisha kua simpi uroda mpaka aoge ndo ataenda tena kwa kulalamika sana! pia cku za w'end yy huoga jionii yaani anashinda bila kuoga cku nzima, . na huwa naanda maji mm mwenyewe tena yaliochemshwa(mana anapotaka kuoga hupenda kuoga maji ya vuguvugu) unaweza ukaweka bafuni hadi ukaenda kuyatoa!yy anachotaka ni kuoga mara moja kwa cku!sasa akioga asubuhi anavoenda kzn ndo bac akirudi haogi
nifanyaje?je huo ni ugonjwa au tatizo?
hadi namtisha kua simpi uroda mpaka aoge ndo ataenda tena kwa kulalamika sana!
Za leo wandungu,
I have just registered my self today and i want to start a topic but i have tried to check how i can do it nimeshindwa kwa kweli. Samahanini maana imenibidi nidandie humu humu.
Alichosema yeye kwamba mme wake haogi tatizo ni kutokuoga na siyo bafu
Bibie faith;
Awali ya yote, bafu la kwako lipo katika mfano gani ukilinganisha na hayo hapo juu?
jamani msiseme na hii baridi mara moja sawa ila kukiwa na joto angalau mara mbili
kwikwikwikwi hapa sina mbavu....mara wengine awekewe upupu.....mwingine ndio kaniua eti mwanamama asioge wawe ngoma droo heheheheeDa pole sasna ila nimecheka sana comments za watu humu, i hope atona umuhimu wa kuoga siku moja
sasa u-house awe anaijia bafuni usimnyime, ataoga tu. maana wanawake wengine wanakua turned on wakisikia kaharufu kidogo atawatafuta wa hivyo. Bafuni huko huko ndio yawepo mambo yetu yale, mwambie change of plans, ndio ubunifu wenyewe huo,unamwambia atangulie kabisa umkute na birthday suit, eeh ndio mambo yenyewe hayo kwa shida na raha, till death tears us apart, eeh isiwe till dirty and nasty tears us apart, eeeeeh ndoa bwana, ndoano.
............smtimes hadi namtisha kua simpi uroda ...............
inabidi kabala ya kuolewa umuulize kabisa mmeo kuwa anapenda kuohga au hapendiMimi ni mwanamke, nilieolewa tatizo linalonisumbua ni kua mume wangu nashindwa kum-define ni mchafu au anatatizo mana hapendi kabisa kiuoga esp jioni! smtimes hadi namtisha kua simpi uroda mpaka aoge ndo ataenda tena kwa kulalamika sana! pia cku za w'end yy huoga jionii yaani anashinda bila kuoga cku nzima, . na huwa naanda maji mm mwenyewe tena yaliochemshwa(mana anapotaka kuoga hupenda kuoga maji ya vuguvugu) unaweza ukaweka bafuni hadi ukaenda kuyatoa!yy anachotaka ni kuoga mara moja kwa cku!sasa akioga asubuhi anavoenda kzn ndo bac akirudi haogi
nifanyaje?je huo ni ugonjwa au tatizo?