luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,361
- 6,967
Mkeka wa sensa wa Kibaha TC hauonekani, msaada mwenye access ya huu mkeka please share.
Nakushauri wewe kama ulituma maombi yako nenda kwenye ofisi ya mtendaji wa kata yote utakutana nayo ukouko....ukitegemea simu ama kubandikiwa ukutani ilo sahauMkeka wa sensa wa KIBAHA TC hauonekani msaada mwenye access ya huu mkeka pls share
Tembelea ofisi ya kata ya eneo lako uliloomba kufanyia hiyo kazi.Mkeka wa sensa wa KIBAHA TC hauonekani msaada mwenye access ya huu mkeka pls share
Hamna kituTembelea ofisi ya kata ya eneo lako uliloomba kufanyia hiyo kazi.
Huku nilipo nimeona watu wanaangalia majina yao kwenye ofisi ya kata