Msaada: Mke wangu ameanza ushirikina

KAOGEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
 
Jitathimini tena hali yako ya usafi ndugu!
 
Huenda huyo mtoto sio wako pia vilevile
 
Kuna matatu hapo mkuu
Either unajipuliza pafyum hivyo yaweza muathiri mtoto au joto la mjin nalo c zuri sna na mwisho ameona labda nyendo zako hazimfanyi aweze kukuamin sana (unachepuka) hivyo kuona suluhu ni hivyo!
 
Ila mleta mada nnakubaliana na mkeo anachofanya ni sahihi kabisa wala sio ushirikina. Kikawaida kwenye mizunguko yetu ya kila siku mtu unakuwa na pilika nyingi hivyo njian unaweza kutoka jasho au kushika uchafu.

Kwa mtoto mdogo immunity yake ni ndogo sana unapomgusa kabla haujaoga ni rahisi sana kumuathiri huyo mtoto.

So wanachosema wengine kuwa labda mkeo anakuhisi mzinzi sidhan kama ni sawa
 
Mbna nawe mshirikina tu tena kwa kiwango cha juu.umejuaje yeye mshirikina kma nawe sio kigagula
 
Kicheche ndo nini?
 
Ni kweli huruhusiwi kumshika mtoto kama una jasho la mtu mwingine, umezini hujaoga mtoto lazima awe na afya mbovu.

Amekwambia hivo maana wewe unawagonga ofisini hakuna kuoga . Ndo maana yake

wewe muulize mama yako atakupa jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…