sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,151
wasumbufu sana na wamejaa zarau na hawawezi kumtii mume ipasavyo
Ha haa mkuu sio wote, acha kugeneralize bhanaa wapo wengi sana tuu wazuri wenye hekima
wasumbufu sana na wamejaa zarau na hawawezi kumtii mume ipasavyo
Umejuaje kama hawajui kumtii mume?ulishawahi kuoa wa ivo na ukamuacha?unaamini vipi kama form four na diploma uwa wanatii mume?
kanisani naogopa kukutana na matax bubu
mifano ninayo na ushaidi ninao kwa sample ya watu 30 ,wakiwemu ndugu zangu na marafiki wangu na wenye dregree wanaojielewa kuwa wameolewa na wanajuwa position ya mume katika familia ni asilimi kumi tu ,,,,wengi wao ni wasumbufu,wamezalishwa na kuachwa au ni michepuko ya waume za watu ..ukitaka kujua fanya mfano huu tongoza mwalimu wa dip au certificate na tongoza mwanamke yoyote mwenye degree harafu utagunguwa tu..
Ha haa mkuu sio wote, acha kugeneralize bhanaa wapo wengi sana tuu wazuri wenye hekima
Usiishi kwa kuangalia watu wanaishije maisha yanatofautiana ata wanawake pia wanatofautiana,
Nenda shule yoyote katongoze mwalimu ( naona unataka waalimu) , nenda hospital in I kuna manesi pia.....hao unaosema serious sijui utawapata wapi
mke mwema jf.msomi na wewe ushazoe mademu wako wa viwanja lzm ndoa iyumbe kaka hapo.maana atataka tendo la ndoa kisomi na wewe ratiba kama weekend. mpaka weekend ....hapo ndio balaa michepuko unaanza kuitafutia nyumba ukitoka kazini kwa mchepuko kwanza.na yeye anavyojua mapenzi