Msaada: Microsoft.NET error:UNHANDLED EXCEPTION HAS OCCURED IN YOUR APPLICATION

Murano

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
2,056
Reaction score
1,129
habari zenu wana jamvi..
leo katika kuwasha computer nikafungua program Huawei Modem unlocker nikakutana na hiyo error ya microsoft.NET framework
then inaandika Click Quit to close immediately,

nifanyeje ili program ifanye kazi kama kawaida?

natoa shukran kwa ushauri ntaopata hapa..
 
Maana yake kuna error ndani ya code na runtime ya program hiyo ambayo haijawa 'caught' au handled na program hio, inayosababisha program ishindwe kurun. Sidhani kama unaweza rectify tatizo hilo...labda kuna requirements za system ambazo hazijawa met
 
habari zenu wana jamvi..
leo katika kuwasha computer nikafungua program Huawei Modem unlocker nikakutana na hiyo error ya microsoft.NET framework
then inaandika Click Quit to close immediately,

nifanyeje ili program ifanye kazi kama kawaida?

natoa shukran kwa ushauri ntaopata hapa..

Unatumia Windows gani? Mara nyingi inatokea kama unatumia program ilikuwa compiled na toleo la zamani la .net framework ambalo unakuta haliwezi kufanya kazi kwenye latest Windows kama vile: Windows 8.

ni vigumu kutibu tatizo hilo kama wewe hujatengeneza hiyo program. ukiangalia vizuri utaona kuna error details za kutosha ambazo zinaonesha tatizo limetokea wapi hapo developer anaweza kulitatua.
 
kweli error details zimelistiwa
 
natumia Window 7 ultimate. mashine ya Dell GX620.
 
Back
Top Bottom