Mkuu naomba msaada nimesikia ubora kuhusu moto e ni nzuri na bajeti ya kawaida so wapi naweza pata moto e 2 nd generation na 1 st kwa bajeti ya kiasi gani mkuu na maeneo gani hapa dar. ahsanteh mkuu
Na unanishauri nini kati ya hizi mkuu samsung s2 na tecno canon c8 kuna nataka nimchkulie nishauri moja wapo kiupande wote wote camera,storage,durability,performance na hata betri.ahsanteh mkuu