Msaada: Microsoft Lumia 640 LTE

bei yake ni sh ngapi hapa bongo?
na perfomance yake ikoje?
sababu namimi nataka kuhamia ulimwengu wa windows phone

Mkuu Al-shabaab nina lumia 535.
Nilinunua mlimani city haijapita hata wiki. Ina warant ya mwaka mmoja. Ukiihitaji lisiti na warrant card nakupatia.

RAM 1GB

Internal memory 8GB

Camera 5MP ina na flash

Secondary camera 5MP

Imewekewa glass screen protector + original back cover.

Screen 5"

Betri ina uwezo wa kukaa siku mbili tofauti na android.

Ni nzuri sana lakini niliyemnunulia kahitaji android.

Bei ni 250,000 without discount. Ukihitaji nitafute 0719139623 au ni pm.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo 640XL 5.7" inapatikana wapi mbona nishaitafta sana siipati, nielekeze duka mkuu. Naitaka sana hiyo.

Mkuu nisaidie bei ya lumia 540 iko ngapi kwa sasa Tz.ahsanteh

Nina lumia 535.
Nilinunua mlimani city haijapita hata wiki. Ina warant ya mwaka mmoja. Ukiihitaji lisiti na warrant card nakupatia.

RAM 1GB

Internal memory 8GB

Camera 5MP ina na flash

Secondary camera 5MP

Imewekewa glass screen protector + original back cover.

Screen 5"

Betri ina uwezo wa kukaa siku mbili tofauti na android.

Ni nzuri sana lakini niliyemnunulia kahitaji android.

Bei ni 250,000 without discount. Ukihitaji nitafute 0719139623 au ni pm.
 
mkuu bado mzigo upo?? Nitaomba tufanye biashara ya hiyo Lumia
 
Wakuu hizi lumia za sasa zina support ussd( Tigo pesa,airtel money n.k) au ni ishu bado!
 
Wakuu hizi lumia za sasa zina support ussd( Tigo pesa,airtel money n.k) au ni ishu bado!

Lumia yoyote yenye namba ya pili 2 kupanda juu inakubali ussd.

Ikiwa 620, 630, 640, 920, 930,940 inasuport ussd.

Zile zenye namba ya pili 1 ndio hazisuport kama 510, 610, 710

Lumia 810 inasuport.
 
Itakuwa around 300,000 au kuzidi hapo kidogo

Mkuu nimeshaivuta ila sasa kuna jamaa kanambia ni copy nmechukua 360k lumia 540 kisa imeandikwa imetoka china sasa naomba kufahamu je ni kweli mkuu na kama si kweli ni kitu gani au apps ipi kama kule android navyo test na cpu-z huku ntawezaje kutest ili niangalie na kutambua kama lumia ni copy au orijinal.ahsanteh
 
Hakuna copy ya lumia, unless inatumia android.

Tumia microsoft account login store ikikubal hio original,
 
Wadau mm natafuta 640xl lte dual sm.kwa mwenye info. Za kutosha naomba anielekeze inapopatikana
 
Wadau mm natafuta 640xl lte dual sm.kwa mwenye info. Za kutosha naomba anielekeze inapopatikana
Fika voda shop mlimani city Ni 540,000 maduka mengine huanzia laki sita .ni dual sim card unaweka line yoyote hawajazipin(huitaji kwenda kuflash)
Na betry take Ni nzuri hutotembea na powerbank,Na unaweza kuunga WiFi muda mrefu /sharing Na laptop muda mrefu Sana.
 
Wadau nauza Nokia Lumia 1520 iko poa sana
32GB Internal
2GB RAM
WHITE POLLYCARBONATE
BEI 750000/= Tsh
Windows 10 mobile 5081
Niko Tanga
No. 0713422826

Sent from mTalk
 
Kwa wale wanaotumia windows phone kuna app mpya ya Mtalk ni nzuri kuliko Tapatalk. Imekaa vizuri ukitumia kwa jamii forum,.

Sent from mTalk
 
Kwa wale wanaotumia windows phone kuna app mpya ya Mtalk ni nzuri kuliko Tapatalk. Imekaa vizuri ukitumia kwa jamii forum,.

Sent from mTalk

Weka link mkuu! Nimejaribu kuitafuta nimeikuta hiyo Tapatalk Tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…