Msaada: Microsoft Lumia 640 LTE

the locksman

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,106
Reaction score
357
Nina simu tajwa hapo juu, ina-restart kila baada ya masaa mawili. Ni mpya inafanya hivi tangia niinunue. Kama mtu anajua namna ya kusolve hili tatizo anisaidie. Vitu vingine inafanya vizuri tu.
 
bei yake ni sh ngapi hapa bongo?
na perfomance yake ikoje?
sababu namimi nataka kuhamia ulimwengu wa windows phone

HII hapa inauzwa 570,000/= maduka ya airtel na voda. Mimi nilichuka 450,000/= mjini kule posta. Kuna lumia nyingine 640 5.7'' mimi naiona kubwa sana kijanjani. Hii hapa ni 5''
 
ufanyakazi wake uko vip unavyoiona?
 
HII hapa inauzwa 570,000/= maduka ya airtel na voda. Mimi nilichuka 450,000/= mjini kule posta. Kuna lumia nyingine 640 5.7'' mimi naiona kubwa sana kijanjani. Hii hapa ni 5''

Hiyo 640XL 5.7" inapatikana wapi mbona nishaitafta sana siipati, nielekeze duka mkuu. Naitaka sana hiyo.
 
Nenda voda shop Uchumi Nyerere Road, Mlimani City unapoingia tu upande wa kulia ukiipita CRDB, pia Posta ukitokea NMB kama unaelekea baharini kuna duka lina bango la LG.
 
Bei yake kiasi gani, nataka ambazo sio za mitandao. Shukrani lakini mkuu.
 
HII hapa inauzwa by570,000/= maduka ya airtel na voda. Mimi nilichuka 450,000/= mjini kule posta. Kuna lumia nyingine 640 5.7'' mimi naiona kubwa sana kijanjani. Hii hapa ni 5''
Mkuu samahani umeichukua posta duka gani?????! Nashukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…