L Larusai Mux JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 980 Reaction score 280 Oct 13, 2014 Thread starter #21 Nashkuru kwa ushauri niende nmb au crdb?,,
M mstaarabu22 Member Joined Jun 30, 2014 Posts 49 Reaction score 4 Oct 23, 2014 #22 naona hata bayport wapo vizuri
I Ibra6 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2013 Posts 290 Reaction score 66 Dec 29, 2014 #23 Hao vikoba wamebuni kitu kizuri sana,watatengeneza hela sana kama watakuwa wakweli ila kwa watz ninavowajua yawezekana ikawa desi nyingne
Hao vikoba wamebuni kitu kizuri sana,watatengeneza hela sana kama watakuwa wakweli ila kwa watz ninavowajua yawezekana ikawa desi nyingne
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,493 Reaction score 12,461 Dec 29, 2014 #24 Ozzie said: Walimu kwenye mikopo hamjambo. Tena huko huko NMB. Click to expand... inakopa nchi itakua mwalimu?!
Ozzie said: Walimu kwenye mikopo hamjambo. Tena huko huko NMB. Click to expand... inakopa nchi itakua mwalimu?!
Hebie JF-Expert Member Joined Jul 29, 2012 Posts 1,415 Reaction score 878 Jan 3, 2015 #25 Chinga One said: inakopa nchi itakua mwalimu?! Click to expand... Hujui nini maana ya mkopo/kukopa, nchi yenyewe inategemea mikopo kutoka nchi wahisani, wewe ni nani usikope? Hembu tokaaapa
Chinga One said: inakopa nchi itakua mwalimu?! Click to expand... Hujui nini maana ya mkopo/kukopa, nchi yenyewe inategemea mikopo kutoka nchi wahisani, wewe ni nani usikope? Hembu tokaaapa
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,493 Reaction score 12,461 Jan 3, 2015 #26 Hebie said: Hujui nini maana ya mkopo/kukopa, nchi yenyewe inategemea mikopo kutoka nchi wahisani, wewe ni nani usikope? Hembu tokaaapa Click to expand... Rudia tena kusoma comment yangu nilikua namjibu nani na kwa nini.....rudia tena kusoma kwa umakini sana usikurupuke!
Hebie said: Hujui nini maana ya mkopo/kukopa, nchi yenyewe inategemea mikopo kutoka nchi wahisani, wewe ni nani usikope? Hembu tokaaapa Click to expand... Rudia tena kusoma comment yangu nilikua namjibu nani na kwa nini.....rudia tena kusoma kwa umakini sana usikurupuke!
Hebie JF-Expert Member Joined Jul 29, 2012 Posts 1,415 Reaction score 878 Jan 3, 2015 #27 Chinga One said: Rudia tena kusoma comment yangu nilikua namjibu nani na kwa nini.....rudia tena kusoma kwa umakini sana usikurupuke! Click to expand... Sorry Chinga nimemosea quotation ilikuwa nimjibu Ozzie am sorry for that mistake
Chinga One said: Rudia tena kusoma comment yangu nilikua namjibu nani na kwa nini.....rudia tena kusoma kwa umakini sana usikurupuke! Click to expand... Sorry Chinga nimemosea quotation ilikuwa nimjibu Ozzie am sorry for that mistake
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,493 Reaction score 12,461 Jan 3, 2015 #28 Hebie said: Sorry Chinga nimemosea quotation ilikuwa nimjibu Ozzie am sorry for that mistake Click to expand... Pamoja sana.
Hebie said: Sorry Chinga nimemosea quotation ilikuwa nimjibu Ozzie am sorry for that mistake Click to expand... Pamoja sana.