Msaada: Mguu wa kulia unavia maji. Ugonjwa gani huu?

JALUO

Senior Member
Jun 4, 2011
168
45
Wadau Mwanangu anasumbuliwa na ugonjwa mguu wa kulia unavia maji inatengeneza kitu kama kidonda pembeni ya mguu, hakiumi ukitumbua hutoa majimaji kama usaha.

Hospital walinipa tube nipake nadhani za fungus Ila hakuna suluhu.
 
Picha mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom