Speculator
Member
- Mar 30, 2012
- 56
- 4
TCRA wanakitengo kinachoshirikiana na vyombo vya usalama kudhibiti uhalifu kwa njia ya mitandao. Waone watakupa ushirikiano mzuri tuu.
Shukran mkuu office zao ziko wapi ?
Mkuu inaelekea ulipita siku nyingi sana hapo Upanga. Walisha hama hapo muda mrefu sasa. Ofisi zao mpya ziko Mawasiliano House along Sam Nujoma.TCRA- Tanzania Communications Regulatory Authority - Wako pale upanga opposite na California Dream Casino. Jengo la kwenye kona kabisa kama unaelekea muhimbili..(Institution hii inawasomi wazuri tuu, Watakusaidia bila kinyongo. Usihofu na wapo kwa ajili ya kutumikia wewe)
Mkuu inaelekea ulipita siku nyingi sana hapo Upanga. Walisha hama hapo muda mrefu sasa. Ofisi zao mpya ziko Mawasiliano House along Sam Nujoma.
hakuna ujambazi hapo.....hao wanafahamiana na wanachezeana.........
Vimada wake wa zamani hao
Pana jamaa yangu katumiwa meseji , hajajua hao majambazi walipo, wanamwamuru kuwapa pesa kwa simu ya voda, afanyeje ili ajue walipo hao majambazi , kama pana mtu anaweza saidia kujua hili tafadhali, au ushauri wowote wa kuyatambua/ kuyakamata hayo majambazi,