Msaada memory card recovery!

Fundifundisho

Member
Jan 11, 2011
77
18
Wakuu naomba kujua niipateje software itakayoweza kurudisha vitu vilivyofutwa kwenye memory card?
Niliwahi ku download "sd recovery" ikawa ni ya kulipia nikashindwa.
Naomba kama kuna anayefahamu juu ya hii kitu anijuze,
natanguliza shukrani...
 
Back
Top Bottom