Msaada Mediacom Super Lite Firmware

Msaada Mediacom Super Lite Firmware

potrayed

Senior Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
189
Reaction score
84
Wanajopo msaada juu ya hz firmware/patch/software kwa ajili ya ku-update receiver ya mediacom nawaombeni msaada wadau e-mail potrayed@gmail.com
 
Wanajopo mpaka nafikia hatua ya kuomba msaada humu ndani kwenu waungwana nitafuta sana online tafadhalini kama kuna mwenye website,firmware au njia nyingine yeyote msaada waungwana....NA JUU YA HZ CABLE NI MTU UNATENGEneza mwenyewe ntapost picha kama ntaweza jinsi ya kuzitengeneza ...NAWAKILISHA WANAJOPO
 
Wanajopo mpaka nafikia hatua ya kuomba msaada humu ndani kwenu waungwana nimetafuta sana online tafadhalini kama kuna mwenye website,firmware,loader au njia nyingine yeyote msaada waungwana....NA JUU YA HZ CABLE NI MTU UNATENGEneza mwenyewe ntapost picha kama ntaweza maana cjui ...NAWAKILISHA WANAJOPO
 
kaka ni mda nilikua sijaingia site ya Mediacom naona site IPO chini nipe exact name ya receiver yako ili nitafute kwengine.
 
Back
Top Bottom