Msaada:Mechanical Engineer graduate natafuta kazi/internship

jfelixizo

Member
Oct 17, 2017
5
20
Habari zenu wakuu, Napenda kuomba msaada kwenye jukwaa hili kwa maana naamini humu kuna watu wafani mbalimbali na connection za kutosha na wengi wamefanikiwa kupitia humu.

Umri wangu ni Miaka 25
Ni mkazi wa Dar es Salaam
Nimehitimu chuo 2020.
Nina ujuzi katika fani zifuatazo:

-Engineering Design
-Engineering Maintenance.
-Manufacturing & Production Engineering
-Machine and Equipments installation.
-Material Engineering and Management.
-Industrial Healthy and Safety.
-Quality assurance and control

Pia ninaujuzi katika Software zifuatazo:-
  • AutoCAD
  • SolidWork.
  • Computer Aided Manufacturing(CAM)

Naombeni msaada wa kupata kazi na pia niko registered as Graduate Engineer. Mpaka sasa nimeomba SEAP bado siko approved.

Mawasiliano:
+255764919392
jfelixizo01@gmail.com

Msaada wenu katika hili.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom