Msaada: Mdogo wangu kanyimwa maelezo ya mlalamikaji

abagabo

Senior Member
Jun 4, 2014
155
168
Mdogo wangu anakabiliwa na kesi ya jinai. PH ilishasomwa tayari na kifuatacho ni ushahidi.

Aliomba apewe maelezo aliyoyaandika mlalamikaji (victim/complainant) lakini PP alimnyima.

1. Je si ni haki kwa mshitakiwa kupewa maelezo hayo?

2. Kama PP ataendelea kusimamia hapo nini kifanyike?

3. Kuna kifungu kwenye sharia ya ushahidi CAP 6 RE 2002

Kinasema:

Proof by written
statements in
criminal
proceedings Act
No. 19 of 1980 s.8

34B.-(1) In any criminal proceedings where direct oral evidence
of a relevant fact would be admissible, a written statement by any person
who is, or may be, a witness shall subject to the following provisions of
this section, be admissible in evidence as proof of the relevant fact
contained in it in lieu of direct oral evidence.
(2) A written statement may only be admissible under this
section–
(a) -
(B)-
(C)-

(d) if, before the hearing at which the statement is to be tendered
in evidence, a copy of the statement is served, by or on behalf
of the party proposing to tender it, on each of the other
parties to the proceedings;


Je kwenye nyekundu hapo juu tafsiri yake ni ipi?

Naomba mtusaidie please.
 
Back
Top Bottom