hivi tunaelekea wapi aisee? kwanini tuna uzungu sana siku hizi?Take him to a psychotherapy session. Maana ni vitu vidogo kama hivyo vinaweza vikaleta madhara makubwa wakati ambao hata hutegemei.
Imagine people cut their lives short and it's something that could be mitigated... Depression is real na watu hawakubali. Sad!
Sio uzungu, kaka. All humans are the same no matter the race!hivi tunaelekea wapi aisee? kwanini tuna uzungu sana siku hizi?
kijana ana stress za maisha na wewe ushauri wako wa kwanza ni zitumike gharama za kumlipa specialist ili amsikilize na kumpa ushauri? kabisa yani?
kweli social life is dead. inasikitisha.
mpaka unaenda kwa specialist kuongea nae maana yake njia zote za mazungumzo zimeshindikana,Sio uzungu, kaka. All humans are the same no matter the race!
Wa Tanzania wengi hatuamini hiki kitu lakini kipo - Sonona ipo tena kwa asilimia zaidi ya mia! Kuna vijana wanaamua kujitoa duniani kwa sababu hizo na ni suala ambalo lingezuilika kwa maongezi tu - Yaani kubadilisha mtazamo wa muathirika kwa maongezi tu.
Kama ulinielewa nilianza na "talk to him" na uelewe anataka nini.. Ila kwa wewe haitakuwa accurate sana ukilinganisha na therapist ambae ataelewa moja kwa moja shida na namna ya kuisolve!!
But again! Is money more important than rescuing a human??
Naelewa tunakwepa gharama ndiyo. Kuna freelancing therapist mbona!! I'll check and let you know where you can get one if you accept.!mpaka unaenda kwa specialist kuongea nae maana yake njia zote za mazungumzo zimeshindikana,
mpaka unaenda kwa specialist manake kwenye ukoo hakuna mtu mwenye uwezo wa kumuweka sawa kijana wao,
mpaka unaenda kwa specialist manake umekosa marafiki kabisa wa kuzungumza nao.
mimi nashauri amtafute mtu mzima aongee nae, ikishindikana basi kakaake arudi hapa JF aombe mtu ajitolee kumshauri mdogo wake.
mimi naamini humu kuna washauri wazuri, watu wenye uwezo wa kuongea na mtu mpaka akili ikakaa sawa..
na anaweza akapata mtu mwenye roho ya usamalia mwema akasaidiwa bila gharama zozote.
Huu ndio ushauri bora kabisa kutolewa tangu tulipo maliza budget ya mwaka wa fedha...teh[emoji28]Mpe pombe