Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 9,449
- 25,942
Sema sasa wanajenga kienyeji sana. Unakuta nyumba hainahata msingi was kuelewwk alafu juu wanaweka pas zito. .Mkuu hizo tofali ni imara sana, na ukisema ujengee smenti utapata hasara,
mfano tofali 1500 utatumia mifuko 8,na nyumba kama hiyo tofali 1500 ni laini 3 tu